Wednesday, December 23, 2015

DEVELOPMENT OF SOCIAL AND POLITICAL SYSTEMS .


Prior to European colonization in the late 19th century, Africa had a very long history of state building as well as a rich variety of social formations that were decentralized or stateless. There were four types of political organizations that were practiced by Africans, these were:

Mawasiliano



Katika mada hii unatarajiwa kuelewa fasili ya mawasiliano na jinsi mchakato wa mawasiliano unavyofanyika. Utaelewa dhana ya lugha na vipengele muhimu vinavyokamilisha fasili ya lugha. Utaelewa dhima kuu za lugha, matumizi na umuhimu wake. Pia vilevile katika mada hii utajifunza juu ya lafudhi na matamshi mbalimbali ya watumiaji wa lugha ya Kiswahili.